Kisiju : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kisiju''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mkuranga]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 13,832 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mkuranga.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>

==Biashara na mawasiliano==
Kitovu chake ni mji mdogo ambao ni ni bandari kwenye pwani la [[Bahari Hindi]] na kisiwa cha [[Kwale (Kisiju)|Kwale]] inahesabiwa ndani ya eneo lake. Kisiju iko takriban kilomita 100 kusini ya Dar es Salaam upande wa kaskazini wa [[delta]] ya [[mto Rufiji]].

Eneo la mji mwenyewe lina takriban [[hektari]] 8. Ni bandari kubwa kati ya [[Dar es Salaam]] na [[Kilwa]]. Biashara yote kutoka na kwenda visiwa vya Kwale na Koma inapita bandari yake pamoja na sehemu za bidhaa zinezopelekwa [[Mafia]]. Kuna huduma ya mabasi kwenda Dar es Salaam.

==Historia==
Eneo la Kisiju pamoja na visiwa limekaliwa tangu zamani sana. Wataalamu wa akiolojia waligundua mabaki ya makazi ya kibinadamu tangu karne ya 1 [[BK]]
Eneo la Kisiju pamoja na visiwa limekaliwa tangu zamani sana. Wataalamu wa akiolojia waligundua mabaki ya makazi ya kibinadamu tangu karne ya 1 [[BK]]
<ref>[http://cohesion.rice.edu/CentersAndInst/SAFA/emplibrary/43_ch09.pdf Archaeological Work at Kisiju,Tanzania, 1994 - taarifa ya F. Chami and E. T. Kessy]</ref>
<ref>[http://cohesion.rice.edu/CentersAndInst/SAFA/emplibrary/43_ch09.pdf Archaeological Work at Kisiju,Tanzania, 1994 - taarifa ya F. Chami and E. T. Kessy]</ref>

Mabaki ya bidhaa yamepatikana tangu karne ya 6 na hii inadokeza kuwa eneo la Kisiju lilikuwa kwenye vituo vya kwanza vya biashara ya pwani iliyokuwa chanzo cha utamaduni wa [[Uswahilini]]

==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 20:13, 4 Machi 2009

Kisiju ni jina la kata ya Wilaya ya Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 13,832 waishio humo. [1]

Biashara na mawasiliano

Kitovu chake ni mji mdogo ambao ni ni bandari kwenye pwani la Bahari Hindi na kisiwa cha Kwale inahesabiwa ndani ya eneo lake. Kisiju iko takriban kilomita 100 kusini ya Dar es Salaam upande wa kaskazini wa delta ya mto Rufiji.

Eneo la mji mwenyewe lina takriban hektari 8. Ni bandari kubwa kati ya Dar es Salaam na Kilwa. Biashara yote kutoka na kwenda visiwa vya Kwale na Koma inapita bandari yake pamoja na sehemu za bidhaa zinezopelekwa Mafia. Kuna huduma ya mabasi kwenda Dar es Salaam.

Historia

Eneo la Kisiju pamoja na visiwa limekaliwa tangu zamani sana. Wataalamu wa akiolojia waligundua mabaki ya makazi ya kibinadamu tangu karne ya 1 BK [2]

Mabaki ya bidhaa yamepatikana tangu karne ya 6 na hii inadokeza kuwa eneo la Kisiju lilikuwa kwenye vituo vya kwanza vya biashara ya pwani iliyokuwa chanzo cha utamaduni wa Uswahilini

Marejeo

Kata za Wilaya ya Mkuranga - Mkoa wa Pwani - Tanzania

Beta | Bupu | Dondo | Kimanzichana | Kiparang'anda | Kisegese | Kisiju | Kitomondo | Lukanga | Magawa | Mbezi | Mipeko | Mkamba | Mkuranga | Msonga | Mwandege | Mwarusembe | Njianne | Nyamato | Panzuo | Shungubweni | Tambani | Tengelea | Vianzi | Vikindu