Anatomia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Anatomi
d roboti Nyongeza: stq:Anatomie
Mstari 86: Mstari 86:
[[sq:Anatomia e njeriut]]
[[sq:Anatomia e njeriut]]
[[sr:Анатомија]]
[[sr:Анатомија]]
[[stq:Anatomie]]
[[su:Anatomi]]
[[su:Anatomi]]
[[sv:Anatomi]]
[[sv:Anatomi]]

Pitio la 06:47, 2 Machi 2009

Anatomia (kutoka Kigiriki ἀνατέμνειν anatemein - kupasua, kufungua) ni elimu ya miili ya viumbehai kama binadamu, wanyama na mimea. Inachungulia muundo na maumbile ya mwili na sehemu au viungo vyake.

Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.

Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, sababu na matokeo yao. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.

Tazama pia