Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
nyongeza
nyongeza
Mstari 4: Mstari 4:

'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Neno limetokana na lugha ya [[Kijerumani]].
'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya [[Kijerumani]].

==Asili ya Kiroma==
Asili yake ni [[Julius Caesar]] aliyekuwa kiongozi wa [[Dola la Roma]] hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka [[44 KK]]. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.

Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]].
Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]].

==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaisari. Baadaye wafalme [[Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaisari.

Mstari 18: Mstari 20:
Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari)kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).

==Nje ya Ulaya==
Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], mtwala wa [[Japani]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwa kwa cheo cha "Kaisari". Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaisari kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], mtwala wa [[Japani]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwa kwa cheo cha "Kaisari".

Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaisari kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].

Rais Jean-Bedel [[Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaisari wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa Napoleon I aliyejiwekea taji la Kaisari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.

Pitio la 11:01, 15 Oktoba 2006

Julius Caesar alikuwa asili ya cheo cha Kaisari
Kaisari Augusto wa Dola la Roma
Mtawala wa Ufaransa Napoleon I aliyejiwekea taji la Kaisari

Kaisari ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya Kijerumani.

Asili ya Kiroma

Asili yake ni Julius Caesar aliyekuwa kiongozi wa Dola la Roma hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka 44 KK. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.

Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la Roma ya Mashariki (Bizanti) hadi 1453.

Ulaya

Katika Ulaya yenyewe mfalme wa Wafranki Karolo Mkuu alipokea cheo cha "Caesar" au Kaisari. Baadaye wafalme Wajerumani waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaisari.

Neno la Kaisari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa ukoloni wa Kijerumani huko Tanzania. Austria na Ujerumani zilitawaliwa hadi mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia 1918 na wafalme wenye cheo cha "Kaisari" (kijer.: Kaiser).

Vilevile mfalme wa Urusi alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "Tsar" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".

Lugha za Kiingerezea na Kifaransa zilitumia cheo tofauti cha Macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari)kilichokuwa "Emperor" (Kiing.) au "Empereur" (Kifaransa).

Nje ya Ulaya

Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa Uajemi, mtwala wa Japani na Negus Negesti wa Ethiopia wanaweza kutajwa kwa cheo cha "Kaisari".

Malkia Viktoria alitumia cheo cha Kaisari kama mtawala wa Uhindi tangu 1877.

Rais Jean-Bedel Bokassa alijitangaza kuwa Kaisari wa Afrika ya Kati mwaka 1977 akiiga mfano wa Napoleon I aliyejiwekea taji la Kaisari ya Ufaransa mwaka 1804. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa jamhuri tena.