Kilimani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Kilimani''' inamaanisha sehemu iliyopo juu ya mlima, karibu na mlima au eneo la mlima mwenyewe. |
'''Kilimani''' inamaanisha sehemu iliyopo juu ya mlima mdogo, karibu na mlima au eneo la mlima mwenyewe. |
||
Kama jina la mahali inaweza kutaja |
Kama jina la mahali inaweza kutaja |
Pitio la 11:48, 21 Februari 2009
Kilimani inamaanisha sehemu iliyopo juu ya mlima mdogo, karibu na mlima au eneo la mlima mwenyewe.
Kama jina la mahali inaweza kutaja
- Kilimani (Dodoma) - kata ya Wilaya ya Dodoma mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania
- Kilimani (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania
- Kilimani (Mbinga) - kata ya Wilaya ya Mbinga - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania