Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: da:Bukoba
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm].
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm].


Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.
{{mbegu}}


==Marejeo==
{{marejeo}}
{{tanzania-geo-stub}}

{{Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini}}

[[Category:Mkoa wa Kagera|B]]
[[Category:Wilaya za Mkoa wa Kagera|B]]
[[Category:Miji ya Tanzania]]
[[Category:Miji ya Tanzania]]



[[da:Bukoba]]
[[da:Bukoba]]

Pitio la 09:35, 19 Februari 2009

Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [1].

Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye