Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fa, fi, he, it, pt, ru, th, zh Ondoa: nl Badiliko: fr
Mstari 54: Mstari 54:
[[he:נחליאלי]]
[[he:נחליאלי]]
[[it:Motacilla]]
[[it:Motacilla]]
[[ka:ბოლოქანქარა]]
[[lt:Kielės]]
[[lt:Kielės]]
[[pt:Alvéola]]
[[pt:Alvéola]]

Pitio la 20:22, 14 Februari 2009

Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege wimbaji)
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Motacilla (Matikisa)
Linnaeus, 1758
Spishi: Angalia katiba

Matikisa ni ndege wa jenasi Motacilla katika familia ya Motacillidae ambao huitwa vibikula pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi nyingine zina rangi nzuri. Hukamata wadudu chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha