Aruba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: os:Арубæ
d roboti Nyongeza: cy:Aruba
Mstari 87: Mstari 87:
[[cs:Aruba]]
[[cs:Aruba]]
[[cv:Аруба]]
[[cv:Аруба]]
[[cy:Aruba]]
[[da:Aruba]]
[[da:Aruba]]
[[de:Aruba]]
[[de:Aruba]]

Pitio la 01:37, 10 Februari 2009

Aruba


Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani la Venezuela. Inajitawala kama nchi mwanachama katika Ufalme wa Uholanzi lakini si sehemu ya Uholanzi.

Watu wa Aruba walielekea kwa uhuru wa kisiasa katika miaka ya 1980 na 1990. 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawla chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mipango hii.

Wakazi ni mchanganyiko wa Maindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa haikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: