Isa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
fomati na viungo
Mstari 1: Mstari 1:
Nabii '''Isa''' (AS) ni [[mtume]] anayeaminiwa na [[Uislamu|Waislamu]] kama mmojawapo wa mitume mitukufu wa Mwenyezi [[Mungu]] walioletwa kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu duniani, naye ni miongoni mwa mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahimilivu wao mkubwa. Nao ni Manabii [[Nuhu]] na [[Ibrahim]] na [[Musa]] na Isa na [[Muhammad]] (amani na rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao). Yeye ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili.
'''Nabii Isa (AS)'''

Nabii Isa (AS) ni Mtume anayeaminiwa na Waislamu kama mmojawapo wa Mitume mitukufu wa Mwenyezi Mungu walioletwa kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu duniani, naye ni miongoni mwa Mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahmilivu wao mkubwa. Nao ni Manabii Nuhu na Ibrahim na Musa na Isa na Muhammad (amani na rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao). Yeye ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili.

Nabii Isa (AS) ni mmojawapo wa 124,000 wa mfululizo wa Mitume na Manabii wa Mwenyezi walioletwa ulimwenguni kuwaletea ujumbe wanadamu wa Mwenyezi Mungu kuhusu upweke na umoja wake, na kumuabudu Yeye peke yake akiwa ndiye Muumba na Mruzuku wao hapa duniani. Watume na Manabii hawa wameletwa katika zama mbali mbali na kwa watu, kaumu na umma mbali mbali, na mfululizo huu ulianza na Adam (AS) baba wa wanadamu wote hadi Mtume Muhammad (SAW) akiwa ndiye wa mwisho katika Manabii na Mitume.

'''Kuzaliwa kwake'''
==Kuzaliwa kwake==
:''Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mcha Mungu. (Malaika) Akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu! Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.''

:''Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.''
'''''Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mcha Mungu. (Malaika) Akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu! Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.'''''

'''''Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.'''''

Nabii Isa (AS) alizaliwa na bibi Maryam kimiujiza, kwani alizaliwa bila ya baba kwa amri ya Mola wake ambaye alimtuma Jibrili (AS) kumtangazia kupata kwa mtoto mtukufu. Baada ya kuzaliwa, Nabii Isa (AS), alisema utotoni mwake akiwa bado mchanga, ukiwa ni muujiza mwengine kwa watu ili kuwaonyesha kuwa yeye si mtoto wa kawaida, na kuwa mamake hana dhambi ya kuja kwake bila ya baba. Huu ni mfano mmoja katika mifano minne aliyotuonyesha Mwenyezi Mungu ya uumbaji, kwani Mwenyezi Mungu alimuumba Adam (AS) bila ya baba wala mama, na akamuumba Hawa bila ya mama, na akamuumba Isa bila ya baba, na akaumba wanadamu wote waliobakia kutokana na baba na mama.

'''Ujumbe wake'''
==Ujumbe wake==

Nabii Isa (AS) aliletwa kwa wanadamu kufikisha ujumbe kwao wa kuwafahamisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja hana mwenzake, na kuwa Yeye pekee ndiye mwenye kustahiki kuabudiwa kwa haki, na ujumbe huu ndio ujumbe uliotumwa kwa Mitume na Manabii wote kwa wanadamu, naye alikuja kutilia mkazo na kusisitiza jambo hili na kupa nguvu tume za Mitume na Manabii waliopita. Ujumbe wake ulikuwa ni wa mwisho kabla ya ujumbe wa Mtume Muhammad (SAW) ambao ndio ulikuwa wa mwisho kabisa kwa wanadamu wote. Alipokuja alitabiri kuwa atakuja baada yake Mtume ambaye atawafundisha wanadamu ukweli wote na kuwaongoza kwenye haki na kuwaeleza kila wanalolihitajia katika maisha yao.

'''Itikadi ya Kikristo kuhusu Isa (AS)'''
==Itikadi ya Kikristo kuhusu Isa (AS)==

Wakristo au Manasara wanahitalifiana katika itikadi yao kuhusu Nabii Isa (AS), kwani kuna wanaomchukulia kuwa ni mtoto wa Mungu, na wengine wanaomuitakidi kuwa ni Mungu, na kuna kundi linalomchukulia kuwa ni Mtume au Nabii. Makundi haya yalitafautiana baada ya kuondoka Nabii Isa (AS) ulimwenguni na kuwawacha wafuasi wake waendeleze kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu. Wafuasi waliokuja baada yake, mbali na wale kumi na mbili waliokuwa pamoja naye, walikuja na fikra na mawazo mengine kuhusu Isa au Yesu kama anavyojulikana na Wakristo, na baada ya muda waligawanyika makundi mbali mbali, wakiwa wengine wanamuamini kuwa ni Mtume na Nabii kama alivyowafundisha na wengine wakawa wanamuamini kama ni mtoto wa Mungu au Mungu kwa sababu ya miujiza mengi aliyokuja nayo.

'''Miujiza ya Nabii Isa (AS):'''
==Miujiza ya Nabii Isa (AS)==

Nabii Isa (AS) au Yesu alipewa na Mwenyezi Mungu miujiza mbali mbali kumsaidia katika kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu, kwani ilikuwa ni kawaida kwa Mtume au Nabii kuonyesha miujiza kwa watu au kaumu yake ili awathibitishie kuwa yeye kweli ni mjumbe aliyeletwa na Mola wa ulimwengu huu. Mitume waliotangulia kabla ya Nabii Isa, kama Nuh na Ibrahim na Musa na wengineo wote walikuja na miujiza mbali mbali. Baadhi ya miujiza ya Nabii Isa (AS)ni kuumba ndege kutokana na udongo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kuponyesha vipofu wakaweza kuona, na kuwaondoshea ukoma wale wenye ukoma kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuhuisha mtu aliyekufa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuwateremshia wafuasi wake chakula kutoka mbinguni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu ili iwe ni dalili kwao wote.

'''Kitabu cha Nabii Isa'''
==Kitabu cha Nabii Isa==

Mwenyezi Mungu ameleta Mitume na Manabii wengi ulimwenguni, lakini alichagua baadhi yao na kuwateremshia vitabu vya uwongozi na sharia na hekima kwa wafuasi wao. Katika vitabu vilivyoteremshwa kwa Manabii mbali mbali ni Taurati kwa Nabii Musa, Zaburi kwa Nabii Daudi, Injili kwa Nabii Isa, na Qurani kwa Nabii Muhammad. Kitabu cha Nabii Isa - Injili - kiliteremshiwa Mayahudi ambao ndio wafuasi hasa wa Nabii Isa, kama alivyoeleza katika Biblia kuwa sikuletwa isipokuwa kwa wana kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na haya yamethibitishwa ndani ya Qurani wakati aliposema kuwa:

'''''Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!'''''
:''Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!''

'''Kuletwa tena kwa Nabii Isa (AS)'''
==Kuletwa tena kwa Nabii Isa (AS)==

Waislamu pamoja na Wakristo wanaamini kuwa Isa au Yesu atarudi tena ulimwenguni kukamilisha kazi yake aliyoiwacha baada ya kuondoka kwenda kwa Mola wake, na haya yanaelezwa katika vitabu vya dini vya Kiislamu na vya Kikristo, lakini wanahitalifiana kuhusu namna na njia aliyoondokea ulimwenguni. Waislamu wanasema kuwa Isa (AS) alichukuliwa na Mola wake na kupandishwa kwake mbinguni baada ya Mayahudi kutaka kumuua, na kwa hivyo hawakuweza kumuua wala kumsulubu. Baadhi ya Wakristo kwa upande mwengine, wanaamini kuwa aliwahi kusulubiwa na kuzikwa kisha akafufuka siku ya tatu yake. Muhimu hapa ni kujua kuwa Isa au Yesu atarudi tena duniani kukamilisha kazi yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.

[[ar:عيسى بن مريم]]
Salim Elhaj
[[de:Isa (Prophet)]]
----
[[tt:Ğaysa]]

Pitio la 14:56, 30 Machi 2005

Nabii Isa (AS) ni mtume anayeaminiwa na Waislamu kama mmojawapo wa mitume mitukufu wa Mwenyezi Mungu walioletwa kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu duniani, naye ni miongoni mwa mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahimilivu wao mkubwa. Nao ni Manabii Nuhu na Ibrahim na Musa na Isa na Muhammad (amani na rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao). Yeye ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili.

Nabii Isa (AS) ni mmojawapo wa 124,000 wa mfululizo wa Mitume na Manabii wa Mwenyezi walioletwa ulimwenguni kuwaletea ujumbe wanadamu wa Mwenyezi Mungu kuhusu upweke na umoja wake, na kumuabudu Yeye peke yake akiwa ndiye Muumba na Mruzuku wao hapa duniani. Watume na Manabii hawa wameletwa katika zama mbali mbali na kwa watu, kaumu na umma mbali mbali, na mfululizo huu ulianza na Adam (AS) baba wa wanadamu wote hadi Mtume Muhammad (SAW) akiwa ndiye wa mwisho katika Manabii na Mitume.

Kuzaliwa kwake

Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mcha Mungu. (Malaika) Akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu! Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.

Nabii Isa (AS) alizaliwa na bibi Maryam kimiujiza, kwani alizaliwa bila ya baba kwa amri ya Mola wake ambaye alimtuma Jibrili (AS) kumtangazia kupata kwa mtoto mtukufu. Baada ya kuzaliwa, Nabii Isa (AS), alisema utotoni mwake akiwa bado mchanga, ukiwa ni muujiza mwengine kwa watu ili kuwaonyesha kuwa yeye si mtoto wa kawaida, na kuwa mamake hana dhambi ya kuja kwake bila ya baba. Huu ni mfano mmoja katika mifano minne aliyotuonyesha Mwenyezi Mungu ya uumbaji, kwani Mwenyezi Mungu alimuumba Adam (AS) bila ya baba wala mama, na akamuumba Hawa bila ya mama, na akamuumba Isa bila ya baba, na akaumba wanadamu wote waliobakia kutokana na baba na mama.

Ujumbe wake

Nabii Isa (AS) aliletwa kwa wanadamu kufikisha ujumbe kwao wa kuwafahamisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja hana mwenzake, na kuwa Yeye pekee ndiye mwenye kustahiki kuabudiwa kwa haki, na ujumbe huu ndio ujumbe uliotumwa kwa Mitume na Manabii wote kwa wanadamu, naye alikuja kutilia mkazo na kusisitiza jambo hili na kupa nguvu tume za Mitume na Manabii waliopita. Ujumbe wake ulikuwa ni wa mwisho kabla ya ujumbe wa Mtume Muhammad (SAW) ambao ndio ulikuwa wa mwisho kabisa kwa wanadamu wote. Alipokuja alitabiri kuwa atakuja baada yake Mtume ambaye atawafundisha wanadamu ukweli wote na kuwaongoza kwenye haki na kuwaeleza kila wanalolihitajia katika maisha yao.

Itikadi ya Kikristo kuhusu Isa (AS)

Wakristo au Manasara wanahitalifiana katika itikadi yao kuhusu Nabii Isa (AS), kwani kuna wanaomchukulia kuwa ni mtoto wa Mungu, na wengine wanaomuitakidi kuwa ni Mungu, na kuna kundi linalomchukulia kuwa ni Mtume au Nabii. Makundi haya yalitafautiana baada ya kuondoka Nabii Isa (AS) ulimwenguni na kuwawacha wafuasi wake waendeleze kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu. Wafuasi waliokuja baada yake, mbali na wale kumi na mbili waliokuwa pamoja naye, walikuja na fikra na mawazo mengine kuhusu Isa au Yesu kama anavyojulikana na Wakristo, na baada ya muda waligawanyika makundi mbali mbali, wakiwa wengine wanamuamini kuwa ni Mtume na Nabii kama alivyowafundisha na wengine wakawa wanamuamini kama ni mtoto wa Mungu au Mungu kwa sababu ya miujiza mengi aliyokuja nayo.

Miujiza ya Nabii Isa (AS)

Nabii Isa (AS) au Yesu alipewa na Mwenyezi Mungu miujiza mbali mbali kumsaidia katika kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu, kwani ilikuwa ni kawaida kwa Mtume au Nabii kuonyesha miujiza kwa watu au kaumu yake ili awathibitishie kuwa yeye kweli ni mjumbe aliyeletwa na Mola wa ulimwengu huu. Mitume waliotangulia kabla ya Nabii Isa, kama Nuh na Ibrahim na Musa na wengineo wote walikuja na miujiza mbali mbali. Baadhi ya miujiza ya Nabii Isa (AS)ni kuumba ndege kutokana na udongo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, kuponyesha vipofu wakaweza kuona, na kuwaondoshea ukoma wale wenye ukoma kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuhuisha mtu aliyekufa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kuwateremshia wafuasi wake chakula kutoka mbinguni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu ili iwe ni dalili kwao wote.

Kitabu cha Nabii Isa

Mwenyezi Mungu ameleta Mitume na Manabii wengi ulimwenguni, lakini alichagua baadhi yao na kuwateremshia vitabu vya uwongozi na sharia na hekima kwa wafuasi wao. Katika vitabu vilivyoteremshwa kwa Manabii mbali mbali ni Taurati kwa Nabii Musa, Zaburi kwa Nabii Daudi, Injili kwa Nabii Isa, na Qurani kwa Nabii Muhammad. Kitabu cha Nabii Isa - Injili - kiliteremshiwa Mayahudi ambao ndio wafuasi hasa wa Nabii Isa, kama alivyoeleza katika Biblia kuwa sikuletwa isipokuwa kwa wana kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na haya yamethibitishwa ndani ya Qurani wakati aliposema kuwa:

Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!

Kuletwa tena kwa Nabii Isa (AS)