Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: '''Musoma''' ni mji wa Tanzania ya kaskazini uliopo kando la mashariki la Ziwa Viktoria Nyanza karibu na mpaka wa Kenya. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na [[wilaya ya Musom...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:19, 29 Januari 2009

Musoma ni mji wa Tanzania ya kaskazini uliopo kando la mashariki la Ziwa Viktoria Nyanza karibu na mpaka wa Kenya. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na wilaya ya Musoma mjini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 108,242 [1].

Marejeo na Viungo vya Nje

  • Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara
  • Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania

    Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi