52,022
edits
d roboti Nyongeza: uk:Танзаніт |
mererani |
||
Mstari 3:
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya
Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.
|