Kibarabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
d The file Image:Cinnamon-breasted_Bunting.jpg has been replaced by Image:House_Bunting.jpg by administrator commons:User:Martin H.: ''Duplicate, image renamed by BetacommandBot''. ''[[m:User:CommonsDelink
Mstari 2: Mstari 2:
| rangi = pink
| rangi = pink
| jina = Kibarabara
| jina = Kibarabara
| picha = Cinnamon-breasted_Bunting.jpg
| picha =House_Bunting.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Kibarabara-kaya]]
| maelezo_ya_picha = [[Kibarabara-kaya]]

Pitio la 11:35, 29 Januari 2009

Kibarabara
Kibarabara-kaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege wimbaji)
Familia: Emberizidae (Ndege walio na mnasaba na vibarabara)
Jenasi: Emberiza Linnaeus, 1758

Latoucheornis Bangs, 1931
Melophus Swainson, 1837
Miliaria Brehm, 1831
Nesospiza Cabanis, 1873
Plectrophenax Stejneger, 1882 Rowettia Lowe, 1923

Vibarabara ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe la pekee kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Ulaya, Asia na Afrika. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika.

Spishi za Afrika

Spishi za Ulaya na Asia

Picha