Hans Buchner : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Hans Buchner''' (16 Desemba 1850 – 5 Aprili 1902) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[virusi]] visababishavyo magonjwa na [[damu]] ya binadamu. Alikuwa kaka ya [[Eduard Buchner]] aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa 1907.
'''Hans Buchner''' ([[16 Desemba]], [[1850]] – [[5 Aprili]], [[1902]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[virusi]] visababishavyo magonjwa na [[damu]] ya binadamu. Alikuwa kaka ya [[Eduard Buchner]] aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa 1907.


Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, [[Hans Buchner (Mtungaji muziki)|Hans Buchner]].
Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, [[Hans Buchner (Mtungaji muziki)|Hans Buchner]].

Pitio la 18:51, 10 Oktoba 2006

Hans Buchner (16 Desemba, 18505 Aprili, 1902) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa na damu ya binadamu. Alikuwa kaka ya Eduard Buchner aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907.

Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, Hans Buchner.