Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Modifying: zh:約瑟夫·普立茲
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Joseph Pulitzer''' (10 Aprili 1847 – 29 Oktoba 1911) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.
'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]], [[1847]] – [[29 Oktoba]], [[1911]]) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.


[[Category:Waandishi]]
[[Category:Waandishi|P]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|P]]


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 16:57, 10 Oktoba 2006

Joseph Pulitzer (10 Aprili, 184729 Oktoba, 1911) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya Marekani; lakini alizaliwa nchi ya Hungaria. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya Chuo Kikuu cha Columbia iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya maandishi hodari.