Edward Albee : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Edward Franklin Albee''' (amezaliwa 12 Machi 1928) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[tamthiliya]] yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: ''Who’s Afraid of Virginia Woolf?'') iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' miaka ya 1967, 1976 na 1992.
'''Edward Franklin Albee''' (amezaliwa [[12 Machi]], [[1928]]) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[tamthiliya]] yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: ''Who’s Afraid of Virginia Woolf?'') iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' miaka ya 1967, 1976 na 1992.


[[Category:Waandishi]]
[[Category:Waandishi]]

Pitio la 16:43, 10 Oktoba 2006

Edward Franklin Albee (amezaliwa 12 Machi, 1928) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: Who’s Afraid of Virginia Woolf?) iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer miaka ya 1967, 1976 na 1992.