Tobias Asser : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: fr:Tobias Asser
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]


'''Tobias Michael Carel Asser''' (28 Aprili 1838 – 29 Julai 1913) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha [[Amsterdam]]. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]]. Mwaka wa 1911, pamoja na [[Alfred Fried]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
'''Tobias Michael Carel Asser''' ([[28 Aprili]], [[1838]] – [[29 Julai]], [[1913]]) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha [[Amsterdam]]. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]]. Mwaka wa [[1911]], pamoja na [[Alfred Fried]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.


[[Category:Wanasheria]]
[[Category:Wanasheria]]

Pitio la 12:32, 10 Oktoba 2006

Tobias Michael Carel Asser (28 Aprili, 183829 Julai, 1913) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya Uholanzi. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Amsterdam. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague. Mwaka wa 1911, pamoja na Alfred Fried alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: