Ugiriki ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: es:Antigua Grecia
d roboti Nyongeza: oc:Grècia antica
Mstari 54: Mstari 54:
[[nn:Antikkens Hellas]]
[[nn:Antikkens Hellas]]
[[no:Antikkens Hellas]]
[[no:Antikkens Hellas]]
[[oc:Grècia antica]]
[[pl:Starożytna Grecja]]
[[pl:Starożytna Grecja]]
[[pt:Grécia Antiga]]
[[pt:Grécia Antiga]]

Pitio la 16:04, 4 Januari 2009

Ugiriki ya Kale ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la Mediteraneo na Bahari Nyeusi, na kudumu wa karibu milenia moja, hadi Ukristo ulipoanza. Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni utamaduni anzilishi wa Ustaarabu wa Magharibi. Utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi katika Dola la Roma, ambalo lilibeba sehemu ya utamaduni huo katika sehemu nyingi za Ulaya.

Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia lugha, siasa, mifumo ya elimu, falsafa, sayansi, usanaa, ufundi sanifu wa dunia ya kisasa, na kuchochea Mwamko Mpya katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya karne ya 18 na 19 katika Ulaya na Amerika.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA