Robert Penn Warren : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: es:Robert Penn Warren |
d roboti Badiliko: uk:Роберт Пенн Воррен |
||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
[[pl:Robert Penn Warren]] |
[[pl:Robert Penn Warren]] |
||
[[ru:Уоррен, Роберт Пенн]] |
[[ru:Уоррен, Роберт Пенн]] |
||
[[uk: |
[[uk:Роберт Пенн Воррен]] |
Pitio la 14:01, 29 Desemba 2008
Robert Penn Warren (24 Aprili, 1905 – 15 Septemba, 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake All the King's Men (Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, miaka ya 1958 na 1979.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |