Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Bologna marriage.jpg|right|300px]]
[[Picha:Bologna marriage.jpg|thumb|right|300px]]


'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
Mstari 22: Mstari 22:
* {{CathEncy|wstitle=Sacrament of Marriage}}
* {{CathEncy|wstitle=Sacrament of Marriage}}


[[Category:Liturujia]]
[[Jamii:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]
[[Jamii:Sakramenti]]


[[de:Kirchliche Trauung]]
[[de:Kirchliche Trauung]]

Pitio la 08:50, 24 Desemba 2008

Ndoa kati ya wabatizwa wawili inahesabiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mojawapo kati ya sakramenti saba zilizowekwa na Yesu Kristo.

Ni muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa.

"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe." (Injili ya Mathayo 19:6).

Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa Misa, karamu ya arusi ya Mwanakondoo na Kanisa, lakini wanakubali katika mazingira ya pekee iweze kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo padri .

Kumbe Waorthodoksi wanahesabu baraka ya padri kuwa sehemu ya lazima ya sakramenti, ambayo wanaarusi wanapewa.

Pamoja na Daraja takatifu ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia ushirika.

Kubariki ndoa kwa Waprotestanti

Waprotestanti hawakubali ndoa kuwa sakramenti; Martin Luther aliona sakramenti sharti iwe alama iliyowekwa na Yesu Kristo mwenyewe, lakini ndoa ni sehemu ya utaratibu wa uumbaji uliotangulia kuja kwa Kristo.

Kwa hiyo Waprotestanti wanabariki ndoa iliyofungwa kufuatana na sheria za dola.

Viungo vya nje