Pembenyingi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, cv, gd, ka, km, ku, lt, simple, uk, ur, zh-classical Badiliko: it |
OKBot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: fa:Broken/چندضلعی |
||
Mstari 37: | Mstari 37: | ||
[[et:Hulknurk]] |
[[et:Hulknurk]] |
||
[[eu:Poligono]] |
[[eu:Poligono]] |
||
[[fa:Broken/چندضلعی]] |
|||
[[fi:Monikulmio]] |
[[fi:Monikulmio]] |
||
[[fr:Polygone]] |
[[fr:Polygone]] |
Pitio la 19:30, 21 Desemba 2008
Pembenyingi (pia: poligoni) ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.
Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.
Katika jiometria ya tambarare pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.
Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.
Mifano ya pembenyingi
-
Pembetatu pandesawa
-
Mstatili ni hali ya pekee ya pembenne
-
Pembesaba sahili
-
Pembesita sahili
-
Pembetano tata
-
Jinsi gani uso wachorwa katika programu ya tarakishi kwa kutumia pembenyingi
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |