Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
jamii na picha
d roboti Badiliko: en:Kigamboni
Mstari 13: Mstari 13:
[[category:Dar es Salaam]]
[[category:Dar es Salaam]]


[[en:{{BASEPAGENAME}}]]
[[en:Kigamboni]]
[[it:Kigamboni]]
[[it:Kigamboni]]

Pitio la 14:37, 18 Desemba 2008

Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam
Mapumziko Kigamboni ufukoni

Wilaya ya Kigamboni ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo. [1]

Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la Dar es Salaam kwa maji ya Kurasini Creek. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.

Kiasili sehemu hii ilikuwa kijiji cha wavuwi lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga nyumba na hoteli za kitalii zimeenea kwenye ufuko wa Bahari Hindi.


Marejeo

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.