Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Picha zimeongezwa
Nyongeza picha
Mstari 2: Mstari 2:
| rangi = pink
| rangi = pink
| jina = Kwale
| jina = Kwale
| picha = Red-winged Francolin (Francolinus levaillantii) from side.jpg
| picha = Yellowneckedspurfowl250.JPG
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Kwale shingo-njano]]
| maelezo_ya_picha = [[Kwale bawa-jekundu]]
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordate|Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| faila = [[Chordate|Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Mstari 14: Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
Kwale ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
Kwale ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.


Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Mstari 67: Mstari 67:
==Picha==
==Picha==
<gallery>
<gallery>
File:Francolinus adspersus.jpg|Kwale domo-jekundu
Image:Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Image:Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Image:Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
Image:Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
File:Erckel's Francolin.PNG|Kwale wa Erckel
File:HFfemale.gif|Kwale wa Hartlaub
File:Yellowneckedspurfowl250.JPG|Kwale shingo-njano
</gallery>
</gallery>
<gallery>
<gallery>

Pitio la 22:28, 13 Desemba 2008

Kwale
Kwale bawa-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Francolinus Stephens, 1819

Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale ni ndege wa jenasi Francolinus na Xenoperdix katika familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha