Korongo (Gruidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hi:सारस
dNo edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
| jenasi = Angalia katiba
| jenasi = Angalia katiba
}}
}}
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==

Pitio la 21:29, 11 Desemba 2008

Korongo
Korongo-taji kijivu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Gruiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Gruidae (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
Vigors, 1825
Jenasi: Angalia katiba

Makorongo hawa ni ndege wa familia ya Gruidae wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la makorongo wa familia ya Ciconiidae. Spishi nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama panya, watambaazi, amfibia au samaki, hata nafaka na matunda madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya Amerika ya Kusini.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengi

Picha