Mwinda : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:




[[Category:Wanyama]]
[[Category:Mamalia]]

Pitio la 15:28, 3 Desemba 2008

Predator au Mnyama mla Nyama ni aina ya mnyama ambaye huwinda, kukamata na kula wanyama wengine. Mnyama mla nyama kikawaida anaitwa mnyama mwindaji au kwa Kiing. humwita prey. Mnyama mla nyama anatoka katika famlia ya carnivores (wanyama wanao kula nyama) au omnivores (wanyama wanaokula majani na wanyama wengine). Wanyama ambao wana uwezo wa kuwawinda wanyama wengine na kuwala ni, Simba, Chui, Mamba na Papa.