Wazulu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: '''Wazulu''' (''kwa Kizulu: amaZulu'') ni kabila kubwa la Afrika Kusini lenye watu milioni 9-10. Makazi yao ni hasa jimbo la KwaZulu-Natal lakini wako katika miji yote ya Afrik...
 
d roboti Nyongeza: af, hi, ja, ko, ln, ro, sv, ta, th, uk Badiliko: ar, bn
Mstari 12: Mstari 12:
[[Category:Watu wa Afrika Kusini]]
[[Category:Watu wa Afrika Kusini]]


[[ar:زولو (جنس)]]
[[af:Zoeloes]]
[[ar:زولو]]
[[bg:Зулу]]
[[bg:Зулу]]
[[bn:জুলু]]
[[bn:জুলু (জাতি)]]
[[ca:Zulus]]
[[ca:Zulus]]
[[cy:Zulu]]
[[cy:Zulu]]
Mstari 29: Mstari 30:
[[gl:Zulú]]
[[gl:Zulú]]
[[he:זולו]]
[[he:זולו]]
[[hi:जुलु]]
[[hr:Zulu]]
[[hr:Zulu]]
[[it:Zulu]]
[[it:Zulu]]
[[ja:ズールー人]]
[[ko:줄루족]]
[[lb:Zulu (Vollek)]]
[[lb:Zulu (Vollek)]]
[[ln:Zulu]]
[[nl:Zoeloes]]
[[nl:Zoeloes]]
[[nn:Zuluar]]
[[nn:Zuluar]]
Mstari 37: Mstari 42:
[[pl:Zulusi]]
[[pl:Zulusi]]
[[pt:Zulus]]
[[pt:Zulus]]
[[ro:Zulu]]
[[ru:Зулусы]]
[[ru:Зулусы]]
[[sh:Zulu]]
[[sh:Zulu]]
[[sr:Зулу]]
[[sr:Зулу]]
[[sv:Zulu]]
[[ta:சூலு இனக்குழு]]
[[th:ซูลู]]
[[uk:Зулуси]]
[[zh:祖魯]]
[[zh:祖魯]]
[[zu:AmaZulu]]
[[zu:AmaZulu]]

Pitio la 21:46, 2 Desemba 2008

Wazulu (kwa Kizulu: amaZulu) ni kabila kubwa la Afrika Kusini lenye watu milioni 9-10. Makazi yao ni hasa jimbo la KwaZulu-Natal lakini wako katika miji yote ya Afrika Kusini pamoja na vikundi vidogo zaidi katika Zimbabwe, Zambia na Msumbiji.

Lugha yao ya Kizulu wanayoita wenyewe "isiZulu" ni lugha ya Kibantu.

Katika historia ya Afrika Kusini ufalme wa Wazulu na upanuzi wao chini ya Shaka Zulu ni kipindi muhimu. Dola la Wazulu likatetea uhuru wake hadi 1879 liliposhindwa na Waingereza.

Wakati wa siasa ya apartheid Wazulu kama Waafrika wote walihesabiwa kama raia wa ngazi ya duni.

Tangu mwisho wa apartheid hushiriki kamili katika ujenzi wa taifa.