Kitabu cha Mhubiri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yi:קהלת
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mhubiri''' ni kitabu cha [[hekima]] kilichomo katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
'''Mhubiri''' ni kitabu cha [[hekima]] kilichomo katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]].


Katika lugha ya [[Kiebrania]] jina lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi.
Katika lugha ya [[Kiebrania]] jina lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi.
Mstari 18: Mstari 18:
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]


{{Biblia AK}}
<div style="margin: 1em 0em; padding: 1em; text-align: center; border: 2px solid blue; background-color: none; clear: both;">
<div>'''Vitabu vya [[Agano la Kale]]'''</div>
[[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]]
[[Kutoka (Biblia)|Kutoka]]
[[Walawi (Biblia)|Walawi]]
[[Hesabu (Biblia)|Hesabu]]
[[Kumbukumbu la Sheria (Biblia)|Kumbukumbu]]
[[Kitabu cha Yoshua|Yoshua]]
[[Waamuzi]]
[[Kitabu cha Ruthu|Ruthu]]
[[Samueli I]]
[[Samueli II]]
[[Wafalme I]]
[[Wafalme II]]
[[Mambo ya Nyakati I]]
[[Mambo ya Nyakati II]]
[[Kitabu cha Ezra|Ezra]]
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yudith|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Wamakabayo I|Wamakabayo I]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Wamakabayo II|Wamakabayo II]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yobu|Yobu]]
[[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]]
[[Kitabu cha Methali|Methali]]
[[Kitabu cha Mhubiri|Mhubiri]]
[[Kitabu cha Hekima|Hekima]] <sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yoshua bin Sira|Yoshua bin Sira]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Wimbo Ulio Bora]]
[[Kitabu cha Isaya|Isaya]]
[[Kitabu cha Yeremia|Yeremia]]
[[Kitabu cha Baruk|Baruk]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Ezekieli|Ezekieli]]
[[Kitabu cha Danieli|Danieli]]
[[Kitabu cha Hosea|Hosea]]
[[Kitabu cha Yoeli|Yoeli]]
[[Kitabu cha Amosi|Amosi]]
[[Kitabu cha Obadia|Obadia]]
[[Kitabu cha Yona|Yona]]
[[Kitabu cha Mika|Mika]]
[[Kitabu cha Nahumu|Nahumu]]
[[Kitabu cha Habakuki|Habakuki]]
[[Kitabu cha Sefania|Sefania]]
[[Kitabu cha Hagai|Hagai]]
[[Kitabu cha Zekaria|Zekaria]]
[[Kitabu cha Malaki|Malaki]] - <small>Alama ya <sup><small>DK</small></sup> inaonyesha vitabu vya [[deuterokanoni]] visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.</small>
<div class="references-small"><references/></div>
</div>


[[ar:سفر الجامعة]]
[[ar:سفر الجامعة]]

Pitio la 07:23, 29 Novemba 2008

Mhubiri ni kitabu cha hekima kilichomo katika Tanakh (Biblia ya Kiebrania) na hivyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo.

Katika lugha ya Kiebrania jina lake ni קֹהֶלֶת (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi.

Yeye anakabili masuala ya maisha kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia hekima.

Hasa anajiuliza juu ya maana ya maadili wakati ufunuo wa Mungu ulikuwa haujafikia hatua ya kufundisha uzima wa milele na maisha yalikuwa yanaonyesha mara nyingi ustawi wa waovu na hali ngumu ya waadilifu.

Mbele ya utovu wa haki duniani, Mhubiri alikariri, "Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" (1:2).

Hata hivyo, hatimaye akajumlisha mawazo yake kwa kuhimiza kwa imani, "Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya" (12:13-14).

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Maendeleo hayo yataweka wazi kwamba hukumu hiyo itafanyika baada ya kifo, na kwamba tuzo na adhabu vitatolewa kwa haki katika uzima wa milele.

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.