Kingstown : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lmo:Kingstown
d roboti Nyongeza: hu:Kingstown
Mstari 58: Mstari 58:
[[he:קינגסטאון]]
[[he:קינגסטאון]]
[[hr:Kingstown]]
[[hr:Kingstown]]
[[hu:Kingstown]]
[[id:Kingstown]]
[[id:Kingstown]]
[[io:Kingstown]]
[[io:Kingstown]]

Pitio la 03:05, 29 Novemba 2008

Kingstown

Mji wa Kingstown na bandari yake
Habari za kimsingi
Utawala Ushirika raia Saint George
Anwani ya kijiografia Latitudo: 13°10′N
Longitudo: 61°14′W.
Kimo ? m juu ya UB
Eneo - ? km²
Wakazi - mji: 15,900 (1999)
Msongamano wa watu watu ? kwa km²
Simu +1784 (nchi yote)
Mahali

Kingstown ni mji mkuu wa nchi ya visiwani ya Saint Vincent na Grenadini mwenye wakazi wapatao 16,000. Iko kwenye kisiwa kuu cha Saint Vincent kilicho sehemu za Antili Ndogo. Ni pia bandari kuu ya nchi.

Kingstown ilikuwa nyumbani ya Hugh Mulzac (1886-1971) aliyehamia Marekani na kuwa Mwamerika mweusi wa kwanza wa kuwa nahodha wa meli ya Marekani.

Viungo vya Nje

Habari za Kingstown na St. Vincent (kiing.)