Svalbard : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cv:Шпицберген
d roboti Badiliko: eo:Svalbardo
Mstari 31: Mstari 31:
[[el:Αρχιπέλαγος Σβάλμπαρντ]]
[[el:Αρχιπέλαγος Σβάλμπαρντ]]
[[en:Svalbard]]
[[en:Svalbard]]
[[eo:Svalbard]]
[[eo:Svalbardo]]
[[es:Svalbard]]
[[es:Svalbard]]
[[et:Svalbard]]
[[et:Svalbard]]

Pitio la 01:10, 27 Novemba 2008

Ramani ya Svalberg
Faili:Fareskilt 38.PNG
Jitahadhari na dubu ukiwa Svalbard!

Svalbard ni funguvisiwa cha Norwei katika Bahari ya Aktika. Iko katikati ya Norwei na ncha ya kaskazini.

Kuna wakazi 2,756 kwenye visiwa vitatu vya Spitsbergen, Bjørnøya na Hopen. Makao makuu ni mji mdogo wa Longyearbyen.

Mkataba wa kimataifa wa Svalbard umekubali ya kwamba funguvisiwa iko chini ya Norwei lakini kuna mashariti fulani. Raia wa nchi zote 40 zilizotia sahihi kwenye mkataba wana haki ya kuingia na kufanya shughuli zao. Hivyo kuna mji wa Kirusi wa Barentsburg ambako Warusi wanachimba madini.

Viungo vya Nje