Visiwa vya Faroe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 142: Mstari 142:
[[no:Færøyene]]
[[no:Færøyene]]
[[oc:Illas Feròe]]
[[oc:Illas Feròe]]
[[os:Фарераг сакъадæхтæ]]
[[pam:Faroe Islands]]
[[pam:Faroe Islands]]
[[pih:Faaro Ailen]]
[[pih:Faaro Ailen]]

Pitio la 00:57, 27 Novemba 2008

Visiwa vya Faroe
Nyumba za serikali mjini Torshavn
Nyumba za serikali mjini Torshavn
Feri inaondoka Torshavn
Ramani ya Visiwa vya Faroe

Visiwa vya Faroe (Kifaroe: Føroyar - "Visiwa vya kondoo") ni funguvisiwa ya Atlantiki ya Kaskazini kati ya Iceland, Uskoti na Norwei na jimbo la nje la ufalme wa Denmark lenye madaraka ya pekee ya kujitawala.

Visiwa vinaendesha shughuli zao isipokuwa siasa ya nje, jeshi na mambo ya mahakama ni chini ya serikali kuu. Faroe viliamua kutoingia katika Umoja wa Ulaya pamoja na Denmark. Hali ya kisiasa ndani ya Denmark inalingana na Greenland ambayo pia ni jimbo la nje la Denmark linalojitawala kwa kiwango kikubwa. Visiwa vya Faroe vimeunda umoja wa forodha pamoja na Iceland.

Hadi 1814 visiwa vilikuwa chini ya Norwei.

Biashara ya visiwa imetegemea hasa uvuwi.

Lugha rasmi ni Kifaroe lugha ya Kigermaniki ya Kaskazini karibu na Kiiceland.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA