Rosa Parks : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
OKBot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: lv:Roza Pārksa |
d roboti Nyongeza: mr:रोझा पार्क्स |
||
Mstari 50: | Mstari 50: | ||
[[mk:Роза Паркс]] |
[[mk:Роза Паркс]] |
||
[[ml:റോസ പാര്ക്സ്]] |
[[ml:റോസ പാര്ക്സ്]] |
||
[[mr:रोझा पार्क्स]] |
|||
[[nds:Rosa Parks]] |
[[nds:Rosa Parks]] |
||
[[nl:Rosa Parks]] |
[[nl:Rosa Parks]] |
Pitio la 21:37, 26 Novemba 2008
Rosa Louise McCauley Parks (Februari 4, 1913 – Oktoba 24, 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.