Hifadhi ya Serengeti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|200px|Puna milia mbele nyumbu maelfu katika Serengeti [[Image:Northern Tanzania map.gif|thumb|200px|Ramani ya Tanzania Kaska...
 
No edit summary
Mstari 14: Mstari 14:


{{Stub}}
{{Stub}}
{{commonscat|Serengeti}}

[[Category:Hifadhi la Taifa Tanzania]]
[[Category:Hifadhi la Taifa Tanzania]]



Pitio la 17:55, 25 Novemba 2008

Puna milia mbele nyumbu maelfu katika Serengeti
Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti


Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la savana na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na Kenya. Eneo lake ni 14,763 km² na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa Hifadhi ya Masai Mara.

Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya nyumbu wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani tembo, simba, chui, kifaru na nyati.

Eneo la hifadhi ya Ngorongoro liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. Bonde la Olduvai ambako mabaki ya wanaadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: