Marlon Brando : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Marlon Brando
Mstari 33: Mstari 33:
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|hr}}


[[af:Marlon Brando]]
[[an:Marlon Brando]]
[[an:Marlon Brando]]
[[ar:مارلون براندو]]
[[ar:مارلون براندو]]

Pitio la 06:45, 25 Novemba 2008

Marlon Brando kama mhusika mkuu katika filamu ya A Streetcar Named Desire.

Marlon Brando (3 Aprili, 19241 Julai, 2004) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana huko miaka ya nyuma, A Streetcar Named Desire (1951), The Wild One (1953), The Godfather (1972), Superman (1978), Apocalypse Now (1979), na The Island of Dr. Moreau (1996).

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:







Kigezo:Link FA