Lita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ksh:Litter
d roboti Nyongeza: ka:ლიტრი
Mstari 42: Mstari 42:
[[it:Litro]]
[[it:Litro]]
[[ja:リットル]]
[[ja:リットル]]
[[ka:ლიტრი]]
[[ko:리터]]
[[ko:리터]]
[[ksh:Litter]]
[[ksh:Litter]]

Pitio la 10:05, 13 Novemba 2008

Bilauri hii ina karibu nusu lita ya bia

Lita ni kipimo cha mjao cha 10,000 cm³. Hii inalingana na mchemraba wa sentimita 10x10x10 au desimita ya mjao moja.

Lita ya maji ina masi ya kilogramu moja. Kifupi chake ni herufi l.

Lita ni kipimo cha kawaida wakati wa kushughulika kiowevu katika maisha ya kila siku. Maji, maziwa na bia huuzwa mara nyingi katika chombo cha lita moja au nusu lita.