Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Josafat Kuncewycz
Mstari 17: Mstari 17:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[be:Іасафат Кунцэвіч]]
[[be-x-old:Язафат Кунцэвіч]]
[[be-x-old:Язафат Кунцэвіч]]
[[de:Josaphat Kunzewitsch]]
[[de:Josaphat Kunzewitsch]]

Pitio la 05:28, 13 Novemba 2008

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (15801623) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 12 Novemba.

Maisha

Mtakatifu Yosafat alizaliwa kwa jina Yosafat Kuntsevych nchini Ukraine mwaka wa 1580 katika familia ya Waorthodoksi waliounganishwa na kanisa katoliki chini ya mapatano ya maungano ya Brest yaliyoanzisha kanisa la Kigiriki-Katoliki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa Mt. Basil. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na kanisa katoliki kwa jumla. Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi wa pekee wa kanisa lake. Alifia dini yake mwaka wa 1623 akiuawa na wapinzani wa umoja na kanisa katoliki.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568