Waraka wa kwanza kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ng:1 Timoteus
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
{{Agano Jipya}}



'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].

Iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.


Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].

Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].

==Mazingira==

Barua hii iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.



==Kiungo cha nje==
==Kiungo cha nje==

Pitio la 06:49, 9 Novemba 2008

Agano Jipya


Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Ukristo.

Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mazingira

Barua hii iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mjini Roma labda akiwa Makedonia ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.


Kiungo cha nje

  • [1] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili