Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: sh:Prva knjiga o Samuelu
Mstari 32: Mstari 32:
[[ru:Книга Царств]]
[[ru:Книга Царств]]
[[scn:1 Samueli]]
[[scn:1 Samueli]]
[[sh:Prva knjiga o Samuelu]]
[[sm:O le tusi muamua Samuelu]]
[[sm:O le tusi muamua Samuelu]]
[[sv:Första Samuelsboken]]
[[sv:Första Samuelsboken]]

Pitio la 13:50, 6 Novemba 2008

Kitabu cha kwanza cha Samueli kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samueli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.

Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya Kigiriki) inayojulikana kama Septuaginta na katika Agano la Kale la Biblia ya Ukristo kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.

Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa Israeli chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme Sauli halafu Daudi.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Kwa habari zaidi tazama Vitabu vya Samweli.

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.