Kitabu cha Yuditi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sk:Judit
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:

Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).

Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].

[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
Mstari 33: Mstari 35:
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yuditi|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yudith|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Wamakabayo I|Wamakabayo I]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Wamakabayo I|Wamakabayo I]]<sup><small>DK</small></sup>

Pitio la 10:25, 1 Novemba 2008

Kitabu cha Yudith ni kimojawapo kati ya vitabu deuterokanoni vya Biblia.

Kimo katika Septuaginta na katika Agano la Kale la Kanisa Katoliki, la Waortodoksi wengi na la baadhi ya Waprotestanti, lakini si katika Tanakh ya Uyahudi wala katika Biblia ya Waprotestanti.

Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika karne ya 1 K.K. inahusu wakati wa mfalme Nebukadreza, na vita vyake dhidi ya Israeli (karne ya 6 K.K.).

Kinyume cha matarajio, Yudith, mwanamke wa kabila la Yuda, aliweza kupata ushindi kwa imani na ushujaa wake.

Habari hiyo ya ajabu ilipata mwangwi kwa wingi katika sanaa mbalimbali.

Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha Bikira Maria katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).

Kama vitabu vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.