Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:جوزيف بوليتزر
Mstari 40: Mstari 40:
[[ta:ஜோசேப் புலிட்சர்]]
[[ta:ஜோசேப் புலிட்சர்]]
[[tr:Joseph Pulitzer]]
[[tr:Joseph Pulitzer]]
[[uk:Джозеф Пулітцер]]
[[zh:約瑟夫·普立茲]]
[[zh:約瑟夫·普立茲]]

Pitio la 23:34, 30 Oktoba 2008

Joseph Pulitzer

Joseph Pulitzer (10 Aprili, 184729 Oktoba, 1911) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya Marekani; lakini alizaliwa nchi ya Hungaria. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya Chuo Kikuu cha Columbia iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya maandishi hodari.