Ernst Boris Chain : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gl:Ernst Boris Chain, io:Ernst Boris Chain, oc:Ernst Boris Chain |
d roboti Nyongeza: af:Ernest Boris Chain |
||
Mstari 12: | Mstari 12: | ||
{{mbegu}} |
{{mbegu}} |
||
[[af:Ernest Boris Chain]] |
|||
[[ar:إرنست تشين]] |
[[ar:إرنست تشين]] |
||
[[ca:Ernst Boris Chain]] |
[[ca:Ernst Boris Chain]] |
Pitio la 23:41, 26 Oktoba 2008
Ernst Boris Chain (19 Juni, 1906 – 12 Agosti, 1979) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Kwa vile alikuwa Myahudi alihamia nchi wa Uingereza wakati wa Adolf Hitler kupokea utawala wa Ujerumani. Chain hasa alichunguza viua vijasumu. Mwaka wa 1945, pamoja na Alexander Fleming na Howard Walter Florey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1969 alipewa cheo cha "Sir".
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |