Umm al-Quwain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: pl:Umm al-Kajwajn (emirat)
d roboti Badiliko: zh:歐姆古溫酋長國
Mstari 54: Mstari 54:
[[sv:Umm al-Qaiwain]]
[[sv:Umm al-Qaiwain]]
[[ta:உம் அல் குவெய்ன்]]
[[ta:உம் அல் குவெய்ன்]]
[[zh:姆古]]
[[zh:姆古溫酋長國]]

Pitio la 13:18, 20 Oktoba 2008

Bendera ya Umm al-Quwain
Falme za Kiarabu

Umm al-Quwain (Kiar.: أمّ القيوين) ni utemi wa Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni.

Iko katika kaskazini ya shirikisho kati ya Ajman na Ras al-Khaimah.

Mtawala wake ni Sheikh Rashid bin Ahmad Al Mu'alla (الشيخ راشد بن احمد المعلا).

Utemi una wakazi 62,000 (2003) katika eneo la 750 km². Haina mapato makubwa kutoka mafuta kama Abu Dhabi hivyo imebaki mji mdogo.

Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha mitende katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.

Viungo vya Nje

  • UAQ24.com - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain


Magazeti ya Falme za Kiarabu