Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary

dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohane IV]]
[[Image:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohanne IV]]'''Yohanne IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[12 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Alimfuata [[Tewodros II]] akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

[[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Al-Mahdi]] tar. [[9 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye [[Omdurman]].
'''Yohannes IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[12 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Alimfuata [[Tewodros II]] akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

[[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Al-Mahdi]] tar. [[9 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye [[Omdurman]].

[[Category:Wafalme wa Uhabeshi]]
[[Category:Wafalme wa Uhabeshi]]

[[de:Yohannes IV.]]
[[en:Yohannes IV of Ethiopia]]
[[en:Yohannes IV of Ethiopia]]
[[fr:Yohannès IV d'Éthiopie]]
[[fr:Yohannès IV d'Éthiopie]]

Pitio la 20:34, 20 Septemba 2006

Yohane IV

Yohannes IV (* 1831 kwa jina la Dejazmach Kassay; † 12 Machi 1889 Metemma, Sudan) alikuwa Ras wa Tigray na Kaisari wa Ethiopia kati ya 18721889. Alimfuata Tewodros II akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

1876 aliweza kuzuia mashambulio ya Misri dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika mapigano ya Metemna dhidi ya jeshi la Al-Mahdi tar. 9 Machi 1889. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye Omdurman.