David Hubel : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: it:David Hubel
d roboti Nyongeza: he:דייוויד הובל
Mstari 18: Mstari 18:
[[fi:David H. Hubel]]
[[fi:David H. Hubel]]
[[fr:David Hunter Hubel]]
[[fr:David Hunter Hubel]]
[[he:דייוויד הובל]]
[[hr:David H. Hubel]]
[[hr:David H. Hubel]]
[[id:David Hunter Hubel]]
[[id:David Hunter Hubel]]

Pitio la 03:05, 14 Oktoba 2008

David Hunter Hubel (amezaliwa 27 Februari, 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Kanada. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini Marekani. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa 1981, pamoja na Roger Sperry na Torsten Wiesel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.