Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mk:Тома Аквински
Mstari 77: Mstari 77:
[[sr:Тома Аквински]]
[[sr:Тома Аквински]]
[[sv:Thomas av Aquino]]
[[sv:Thomas av Aquino]]
[[ta:தாமஸ் அக்குவைனஸ்]]
[[th:โทมัส อควีนาส]]
[[th:โทมัส อควีนาส]]
[[tl:Tomas ng Aquino]]
[[tl:Tomas ng Aquino]]

Pitio la 02:37, 7 Oktoba 2008

Thomas Aquinas Mtakatifu (takriban 12247 Machi, 1274) alikuwa mwanateolojia kutoka nchi ya Italia. Alikuwa mtawa ndani ya Shirika la Wadominikani. Alichunguza hasa mawazo ya mwanafalsafa Mgiriki Aristoteli. Pia anajulikana sana kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa Kilatini Summa theologiae) na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini Summa contra gentiles). Alitangazwa kuwa mtakatifu 18 Julai 1323. Sikukuu yake ni 28 Januari.


Kigezo:Link FA

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA