Adalbert wa Magdeburg : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de, nl, pl, ru, uk
Mstari 20: Mstari 20:


[[de:Adalbert von Magdeburg]]
[[de:Adalbert von Magdeburg]]
[[en:Adalbert, Archbishop of Magdeburg]]
[[en:Adalbert (Archbishop of Magdeburg)]]
[[nl:Adalbert van Maagdenburg]]
[[nl:Adalbert van Maagdenburg]]
[[pl:Adalbert z Magdeburga]]
[[pl:Adalbert z Magdeburga]]

Pitio la 22:49, 2 Oktoba 2008

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg (alifariki tarehe 20 Juni, 981) alikuwa askofu mkuu wa kwanza wa mji wa Magdeburg, Ujerumani. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 20 Juni.

Maisha

Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa mtawa katika mji wa Trier. Baada ya kuwekwa wakfu kama askofu, mwaka wa 961 alitumwa mjini Kiev, Urusi kama mmisionari. Kundi lake lote liliuawa, naye Adalbert peke yake aliweza kurudi Ujerumani. Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa dayosisi ya Magdeburg. Alianzisha madayosisi mapya pengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya Naumburg, Meißen, Merseburg, Brandenburg, Havelberg, na Poznan. Mwanafunzi wake mmoja aliyetakatifishwa kama yeye ni Adalbert wa Praha.

Tazama pia

Viungo vya nje