Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Image:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]] |
[[Image:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]] |
||
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' ({{lang|it|Francesco di Paola}}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa |
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' ({{lang|it|Francesco di Paola}}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]]. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[2 Aprili]]. |
||
== Maisha == |
== Maisha == |
Pitio la 14:33, 29 Septemba 2008
Mtakatifu Fransisko wa Paola (Francesco di Paola, 1416 – 1507) alikuwa mtawa nchini Italia. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 2 Aprili.
Maisha
Fransisko alizaliwa katika mji wa Paola, mkoa wa Kalabria, Italia, mwaka wa 1416. Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye lilibadilisha na kuwa Utawa wa Wadogo Kabisa, na likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka wa 1506. Fransisko alikufa mwaka wa 1507 huko Tours, Ufaransa.
Tazama pia
Marejeo
- "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |