Jamestown (St. Helena) : Tofauti kati ya masahihisho
d roboti Nyongeza: lt:Džeimstaunas (Šv. Elenos sala) |
d roboti Nyongeza: gv:Jamestown, Ellan Helena Noo |
||
Mstari 27: | Mstari 27: | ||
[[fr:Jamestown (Sainte-Hélène)]] |
[[fr:Jamestown (Sainte-Hélène)]] |
||
[[ga:Jamestown (San Héilin)]] |
[[ga:Jamestown (San Héilin)]] |
||
[[gv:Jamestown, Ellan Helena Noo]] |
|||
[[he:ג'יימסטאון (סנט הלנה)]] |
[[he:ג'יימסטאון (סנט הלנה)]] |
||
[[hu:Jamestown (Szent Ilona)]] |
[[hu:Jamestown (Szent Ilona)]] |
Pitio la 05:45, 20 Septemba 2008
Jamestown ni bandari na mji mkuu wa eneo la ng'ambo la Uingereza lenye visiwa vidogo vya Saint Helena, Ascension na funguvisiwa ya Tristan da Cunha. Mji uko kisiwani St. Helena katika bahari ya Atlantiki takriban 1.868 km mbele ya pwani la Angola. Idadi ya wakazi inakaribia 1000.
Jamestown ilianzishwa mwaka 1659 na Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki. Miaka ya nyuma bandari ya Jamestown ilikuwa kituo muhimu cha safari za jahazi kubwa kati ya Uingereza, Afrika Kusini na India. Jina limetokana na jina la mfalme James II wa Uingereza na Uskoti (James VII kama mfalme wa Uskoti).
Zamani wafanyabiashara wengi walipeleka dhahabu yao hadi St. Helena kwa sababu kisiwa kilikuwa na sifa ya kuwa mahali pa usalama kwa kutunza dhahabu. Haya yote imepungua hadi kupotea kabisa kwa sababu za mabadiliko ya teknolojia za benki na pia ya usafiri. Leo hii kuna meli tu ya RMS St Helena inayofika takriban mara 2 kwa mwezi ikitumia siku 4-5 kwa ajili ya safari hadi Afrika Kusini. Idadi ya wakazi wa Jamestown imeendelea kupungua.
Mji mwenyewe ni hasa barabara moja yenye nyumba za aina ya ujenzi wa kikoloni cha Kiingereza.