Hungaria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ln:Ungri
Mstari 156: Mstari 156:
[[lt:Vengrija]]
[[lt:Vengrija]]
[[lv:Ungārija]]
[[lv:Ungārija]]
[[mdf:Венгеронь мастор]]
[[mk:Унгарија]]
[[mk:Унгарија]]
[[ml:ഹംഗറി]]
[[ml:ഹംഗറി]]

Pitio la 11:51, 2 Septemba 2008

Hungaria

Hungaria (Magyarország) ni nchi ya Ulaya ya Kati. Mji mkuu ni Budapest. Nchi ina wakazi milioni 10. Imepakana na Slovakia, Ukraine, Romania, Serbia, Kroatia na Slovenia.

Miji muhimu baada ya Budapest ni Miskolc, Debrecen, Szeged, Pécs, Győr na Szolnok.

Kihungaria ni lugha rasmi.

Hungaria imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 2004.

Makala hii kuhusu "Hungaria" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.