Tofauti kati ya marekesbisho "Bamba la gandunia"

Jump to navigation Jump to search
12 bytes added ,  miaka 16 iliyopita
viungo
No edit summary
(viungo)
==Mabamba makuu ya dunia==
Mabamba makubwa ya ganda la nje ya dunia ni:
*[[Bamba la Afrika]] - bara la [[Afrika]] pamoja na [[tako la bara]] baharini - ni [[bamba la kibara]]
*[[Bamba la Antaktika]] - bara la [[Antaktika]] pamoja na tako la bara baharini - ni bamba la kibara
*[[Bamba la Australia]] - bara la [[Australia]] pamoja na tako la bara baharini - ni bamba la kibara
*[[Bamba la Amerika ya Kaskazini]] - bara la [[Amerika ya Kaskazini]] na Siberia ya kaskazini-magharibi pamoja na tako la bara baharini - ni bamba la kibara
*[[Bamba la Amerika ya Kusini]] - bara la [[Amerika ya Kusini]] pamoja na tako la bara baharini - ni bamba la kibara
*[[Bamba la Pasifiki]] - bahari ya [[Pasifiki]] - ni [[bamba la kibahari]]
 
Kati ya mabamba madogo ni:
* [[Bamba la Juan de Fuca]]
* [[Bamba la Skotia]]
[[Image:Pangea animation 03.gif|thumb|240px|Mwendo wa mabamba: jinsi [[Pangaea]] ilivyoachana na kutokea kwa bara za leo]]
==Mendo wa mabamba==
Mwendo wa mabamba haya umesababisha kutokea na kuvunjika kwa mabara katika historia ya dunia yetu.

Urambazaji