Bakaffa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d kuongeza viungo vya lugha nyingine
d viungo vya tarehe na vya miaka
Mstari 1: Mstari 1:
'''Bakaffa''' (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia 18 Mei 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, [[Dawit III]]. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza ''Asma Sagad'', halafu ''Masih Sagad''. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni [[Iyasu II]].
'''Bakaffa''' (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia [[18 Mei]], [[1721]] hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, [[Dawit III]]. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza ''Asma Sagad'', halafu ''Masih Sagad''. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni [[Iyasu II]].
{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 19:33, 7 Septemba 2006

Bakaffa (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei, 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni Iyasu II.