Willis Lamb : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Willis Lamb
d roboti Nyongeza: ht:Willis Lamb
Mstari 22: Mstari 22:
[[fr:Willis Eugene Lamb]]
[[fr:Willis Eugene Lamb]]
[[gl:Willis Lamb]]
[[gl:Willis Lamb]]
[[ht:Willis Lamb]]
[[id:Willis Lamb]]
[[id:Willis Lamb]]
[[it:Willis Lamb]]
[[it:Willis Lamb]]

Pitio la 00:24, 26 Agosti 2008

Willis Eugene Lamb (12 Julai, 191315 Mei, 2008) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1955, pamoja na Polykarp Kusch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.