Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: io:Sani Abacha, oc:Sani Abacha
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Sani Abacha.jpg|thumb|right|180px|Sani Abacha.]]
[[Image:Sani Abacha.jpg|thumb|right|180px|Sani Abacha]]

'''Jenerali Sani Abacha''' (Alizaliwa mjini [[Kano]] tar. [[20 Septemba]] mwaka [[1943]], Akafariki tar. [[8 Juni]] mwaka [[1998]]) Alikwa kiongozi wa kijeshi wa [[Nigeria]], Pia alikuwa mwanasiasa. Aliwahi kuwa miungoni mwa marais (10) wa nchini [[Nigeria]] kwa [[mwaka]] wa [[1993]] hadi mwaka [[1998]] kifo chake kilivyomfikia.
'''Jenerali Sani Abacha''' ([[20 Septemba]], [[1943]] – [[8 Juni]], [[1998]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa [[Nigeria]], pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia [[mwaka]] wa [[1993]] hadi kifo chake mwaka wa [[1998]] alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya [[Nigeria]].

==Maisha==
Abacha alizaliwa mjini [[Kano]] tar. [[20 Septemba]] mwaka [[1943]].

==Urais==
Abacha alitanguliwa na Rais [[Ernest Shonekan]]. <br>
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka [[Abdulsalami Abubakar]] aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.


Alitanguliwa na Rais [[Ernest Shonekan]], Ambaye yeye alikuwa Rais wa '9' kwa nchi ya Nigeria.
Jenerali Sani Abacha Alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka bwana '[[Abdulsalami Abubakar]]'. Aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.
==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/special_report/1998/06/98/nigeria/109265.stm Makala kuhusu Abacha katika BBC]
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/special_report/1998/06/98/nigeria/109265.stm Makala kuhusu Abacha katika BBC]
Mstari 10: Mstari 16:
{{Mbegu}}
{{Mbegu}}


{{DEFAULTSORT:Abacha, Sani}}
[[Category:Watu wa Nigeria]]
[[Category:Marais wa Nigeria]]
[[Category:Wanasiasa wa Nigeria]]
[[Category:Wanasiasa wa Nigeria]]
[[Category:Nigeria]]
[[Category:Watu na Maisha]]
[[Category:Waliozaliwa 1943]]
[[Category:Waliozaliwa 1943]]
[[Category:Waliofariki 1998]]


[[ar:ساني أباتشا]]
[[ar:ساني أباتشا]]

Pitio la 15:41, 25 Agosti 2008

Faili:Sani Abacha.jpg
Sani Abacha

Jenerali Sani Abacha (20 Septemba, 19438 Juni, 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria, pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya Nigeria.

Maisha

Abacha alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943.

Urais

Abacha alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan.
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka Abdulsalami Abubakar aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.

Viungo vya Nje